AGANO LA CHUMVI,
Na Mwalimu Oscar Samba wa Ug Ministry. Mungu ameweka mfumo maalumu ambao ninauita “System” ya Mungu ya namna atakavyo watunza watumishi wake, na jambo hili ameliweka kwa mfumo wa Agano, na mimi nitakuchambulia kama lilivyowekwa. Ikumbukwe pia miongoni mwa masomo ambayo Mungu amenipa kuyafundisha ni yale ya kiagano ndani ya Bibilia na endelea kunifwatilai kwani yamkini siku moja nikapata kibali cha kukujuza baadhi ya maagano hayo ikiwemo Agano Jipya na nguvu yake kwani limekamilishwa kwa Damu na Mwili wa Krsto na tafsiri ya maneno ya Yesu katika Luka 22 anaposema kikombe hiki ni Agano jipya, Sanjari na kauli ya Kitabu kile cha Waebrania kinaposema ya kwamba Nguvu ya hilo Agano ipo kwenye mauti na sababu ya maagano ya kipepo yanayolenga familia kuwa na nguvu pale muhusika anapokufa.
Maoni
Chapisha Maoni